Umewahi sikia habari Za YASUKE Shujaa? Samurai mwafrika aliye WASTAJABISHA Wajapan na Kutaka KUMUUA?



#Samurai #Japan #YASUKE #warrior #african #Giant

Ni kama alizaliwa TUMBO moja na HAWAFU MWENYE NGUVU. Kutana na Habari za YASUKE, SAMURAI wa kwanza mwenye rangi nyeusi na asili ya Africa kuwepo katika jeshi la Wajapan, na kuweza kupambana / kupigana katika vita kadhaa huku akishiriki kikamilifu katika kulinda amani na uhai wa Mfalme.

Alipewa masharti magumu Baada ya WIVU kuwazidi wajapan, Masharti hayo ni pamoja na kujiua.

Tizama Video na elewa zaidi kuhusu YASUKE. Ili kuwa na maarifa zaidi unaweza ongeza utafiti wako mwenyewe na kuongeza nondo katika maarifa haya ya leo.

Usisite Ku-Comment na Kushare, pia ku-like.

– Facebook: https://web.facebook.com/nianimaarifa​​

– Instagram: https://www.instagram.com/nianimaarifa/​

– Youtube: https://www.youtube.com/c/NIANIMAARIFA?sub_confirmation=1

Cover Image by Stefan Keller from Pixabay